
Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Grory , Kata ya Mji Mpya, Manispaa ya Morogoro, Fortunatus Majengo, akimwekea mikono kichwani na kumwombea, Mlemavu wa Ngozi ( Albino) , Said Abdallah , liyelazwa kuanzia juzi wodi namba moja ya Hospitali ya Mkoa wa Morogoro , baada ya kukatwa kiganja cha Mkono wa kushoto wakati wa ugomvi baina ya wakulima na wafugaji wa Jamii ya Kimasai wa Kijiji cha Melela , Wilaya ya Mvomero juzi Mkoani hapa.

Mlemavu wa Ngozi ( Albino), Said Abdallah ( 41) ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Melela , akiwaamelazwa wodi namba moja ya Hospitali ya Mkoa wa Morogoro ,kuazia juzi baada ya kukatwa kiganja cha Mkono wa kushoto wakati wa ugomvi baina ya wakulima na wafugaji wa Jamii ya Kimasai pia wa Kijiji hicho cha Wilaya ya Mvomero , Mkoani hapa.
0 comments:
Post a Comment