Nafasi Ya Matangazo

April 08, 2010

Kambi ya Ukapera ya TSN wachapaji wa magazeti ya Daily News na HabariLEO jana iliingia diosari baada ya mmoja wa wanachama wake Halima Mbuso (kushoto)kuamua kujiengua na kuhamia Klabu dume ya wanandoa.Zifuatazo ni picha kadhaa za tukio la kuagwa kwa Halima ambaye anataraji kufunga ndoa Aprili 9 jijini Dar es Salaam.Innocent Mfumu kutoka TSN akivfungua Shampeni.Meneja Rasilimali watu wa TSN akizungumza katika sherehe hiyo.
Waziri Hawa Ghasia akitoa nasaha zake.Upande wa Utawala ndio imeathirika zaidi maan Makapera walikuwa watatu sasa wamebaki wawili
Halima akitoa zawadi ya keki kwa wawakilishi wa wafanyakazi wa TSN.Halima akipiga picha na bibi zake.Hawa wote ni wana TSN.Ilikuwa wakati wa kwenda kutoa zawadi wafanyakazi wenzake na Halima Mbuso.Wafanyakazi wa TSN wakipiga picha ya pamoja na Biharusi Mtarajiwa.
Posted by MROKI On Thursday, April 08, 2010 3 comments

3 comments:

  1. Eee Bwana Mroki ee!

    Huyo alievaa KIVAZI CHEUSI hapo picha ya tatu kutoka chini vipi nae KAPERA?

    Tuahabarishane ndugu yangu.

    ReplyDelete
  2. We Mkware sasa unataka kupigwa...huyo dada namfahamu sana na mumewe ni huyo aliyevaa kofia na shati jekundu.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Halima na karibu ndani ya klabu.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo