Nafasi Ya Matangazo

April 02, 2010

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanamichezo kutoka ikulu ya Zanzibar pamoja na viongozi wao wakati walipotembelea Ikulu ya Dar es Salaam leo.

Kesho katika viwanja vya Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu DUCE Chang'ombe Dar es Salaam kuanzia saa mbili asubuhi kutakuwa na Bonanza la micvhezo kati ya Ikulu Dar es Salaam na Ikulu Zanzibar.
Posted by MROKI On Friday, April 02, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo