Nafasi Ya Matangazo

April 09, 2010


Hayawi hayawi yamekuwa pichani ni Dk.Ramadhan William Njwaba Bi.Halima K. Mbusso wa jijini Dar es Salaam wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga pingu za maisha mchana wa leo katika Msikiti wa Kichangani Magomeni Dar es Salaam nabaade.
Picha na MD DIGITAL COMPANY. 0755 373999/0717002303 Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Friday, April 09, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Wow HONGERENI Wandugu!You look Great!Tunawatakia kila laheri na baraka zote za mnyaazi mungu!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo