Nafasi Ya Matangazo

April 08, 2010

Binti wa Malkia wa Uholanzi Maxima akipokea zawadi ya vitu mbalimbali ikiwemo Kahawa, Chai na Korosho kutoka kwa Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo ikiwa ni ishara kumkaribisha Tanzania. Binti huyo wa Malkia yupo nchini kwa ziara ya siku mbili ya kuhamasisha umuhimu wa huduma za kibenki kwa wananchi walio wengi.
Posted by MROKI On Thursday, April 08, 2010 1 comment

1 comment:

  1. hahahahhaha duh huyo sio binti wa malkia uholanzi.huyo mkewe mwanae malkia prince willem alexander huyo hapo anaitwa pricess maxima.kabla ya kubandika ma news fanyeni reseach kwanza.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo