Nafasi Ya Matangazo

March 04, 2010

Wadau wa Twiga cement wakihudhuria semina ya siku moja iliyoandaliwa na kampuni ya twiga Cement kwaajili ya wafyatua matofali Dar es Salaam leo.
Wafyatua tofali wakifuatilia mafunzo katika semina hiyo Dar es Salaam leo.
Mmoja wa watu waliovutika na biashara ya uuzaji saruji Rachel Masamu akizunghumza na waandishi wa habari huku pembeni yake Ofisa masoko wa Twiga Cement Kigu Emmanule Kigunia akiwa nae.
Posted by MROKI On Thursday, March 04, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo