Nafasi Ya Matangazo

March 16, 2010

Washindi wan promosheni ya Tigo ya Shangwe Kispoti, Adam Kimario (kushoto) na Godfrey Raymond wakionyesha zawadi zao za jezi za timu wanazozishabikia mara baada ya kukabidhiwa na Ofisa Uhusuano wa Tigo, Jackson Mmbando (kulia), jijini Dar es Salaam.
Meneja Matangazo na Promosheni wa Tigo, Redemptus Masanja (kushoto) akikabidhi zawadi ya jezi ya timu ya Chelsea kwa Godfrey Raymond.
Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (kulia) akikabidhi zawadi ya jezi ya timu ya Arsenal kwa Adam Kimario, mmoja wa washindi wa promosheni ya Tigo ya Shangwe Kispoti jijini Dar es Salaam leo.
Posted by MROKI On Tuesday, March 16, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo