Nafasi Ya Matangazo

March 16, 2010

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Evance Balama (katikati) akizungumza na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Songas Richard Chap (kushoto) baada ya kuzindua vyumba 6 vya madarasa vilivyojengwa na kampuni hiyo jana. Kulia ni Meya wa manipaa ya Ilala Abouu Jumaa.Jengo lililo na madarasa sita ya kisasa lililojengwa na kampuni ya Songas.wanafunzi wakishangilia kukabidhiwa kwa madarasa.
Mwalimu Joyce Ibrahimu akiwaaimbisha watoto nyimbo ya shule.
Posted by MROKI On Tuesday, March 16, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo