Nafasi Ya Matangazo

March 03, 2010

Waziri Mkuu, Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara na Kiongozi wa Wakuu wa Mikoa nchini, Anatoli Tarimo (kushoto) kuingia kwenye ukumbi wa mikutano mjini Dodoma kuongoza kikao cha wakuu wa mikoa jana. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani na Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Aggrey Mwanri.Wakuu wa Miokoa wakiwa katik asemina elekezi.
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa nchini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (hayupo pichani) wakati alipowahutubia mkutano wa kazi kati yake na Wakuu wote wa mikoa nchini mjini Dodoma jana.
Posted by MROKI On Wednesday, March 03, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo