Nafasi Ya Matangazo

March 02, 2010

Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo ofisini kwake alitembelewa na wageni muhimu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini, Kadri Sander Gurbuz katika Ofisi ya Waziri Mkuu Dar es Salaam leo.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi nchini, UNHCR,, Mhe. Olyseyi Bajulaiye, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini leo.
Posted by MROKI On Tuesday, March 02, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo