Nafasi Ya Matangazo

March 26, 2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipigapicha na Gavana na Mtendaji Mkuu wa Benki Kuu ya Japan, Bw. Shosaku Yasui kabla ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo akiwa katika ziara ya kiserikali nchini Japan Machi 26, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo nchini Japan, Mhe. Lumumba Lumbumba baada ya mkutano wake na mabalozi wan chi za Afrika mchini Japan uliofanyika kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo, Machi 26, 2010. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona.
Posted by MROKI On Friday, March 26, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo