
Adris John akizungumza na halaiki ya wanafunzi wa IFM leo juu ya adhma ya mgomo wao na kusalitiwa kwa viongozi wao.

Baadhi ya wanafuzni wa chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM Dar es salaam wakiwa wamekusanyika katika eneo la wazi chuoni hapo jana wakimsikiliza mwenzao Adris John.

Baadhi ya wanafuzni wa chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM Dar es salaam wakiwa wamekusanyika katika eneo la wazi chuoni hapo jana wakati wakihamasishana kuanza mgomo wa kupinga ongezeko ala ada lililopanda kati ya asilimia 50 na 70 kuanzia

Makundi ya mijadala yalizuka kila mmoja akiopanga lake.
0 comments:
Post a Comment