Nafasi Ya Matangazo

March 19, 2010

Daniel Bundu ( anayebonyeza) ambaye ni mshindi wa promosheni ya tuma pesa kupitia NMB mobile kwa uwapendao na ushinde akianzisha draw ya mwisho ya promosheni hiyo. Kulia ni Chiku Salehe Mwakilishi toka bodi ya michezo ya kubahatisha, anayefuatia Julio Batalio Mwakilishi to kampuni ya na Julius Konyani ambaye ni Meneja Bidhaa wa NMB.
Meneja Bidhaa wa NMB Julius Konyani (kulia) akimkabidhi zawadi ya simu ya mkononi mshindi wa promosheni ya tuma pesa kupitia NMB mobile kwa uwapendao na ushinde , Daniel Bundu ambaye aliibuka mmoja wa washindi kwenye promosheni hiyo. Kulia ni Meneja Masoko wa NMB Shilla Senkoro.
Posted by MROKI On Friday, March 19, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo