Katika Picha hii ya Maktaba inaonesha Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akimvisha Nishani ya Anjouan Mpigapicha wa Magazeti ya HabariLeo, Daily News, HababariLeo Jumapili na Sunday News yanayochapisha na TSN ambaye pia ni Mwendeshaji wa Blogu hii ya watu ya www.mrokim.blogspot.com ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wake wakati wa Vita ya Kumuondoa Muasi wa Kisiwa cha Anjouan Mohamed Bakar mwaka 2007. Waandishi 12 kati ya 13 walivishwa nishani hizo kwaniaba ya Rais Jakaya Kikwete.
March 30, 2010

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Hongera tena na tena mkuu!Ujemedari kama huu ndo unatakiwa!
ReplyDelete