Nafasi Ya Matangazo

March 08, 2010

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ID Card Solutions, Richard Kasesela akisalimiana na Naibu Waziri wa Mawasilino, Sayansi na Teknolojia Dk. Maua Daftari wakati wa ufunguzi wa maonesho ya teknolojia Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada.
mmoja wa wawezeshaji katika mdahalo huo wa IT na Mawasiliano Eric Mwenda CEO wa WiA Group akitoa mada yake.
Mgeni rasimi Naibu waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk. Maua Daftari akifuatilia mada pamoja na waandaaji wa mdahalo huo.
Washiriki wengine wakifuatilia mada.
Posted by MROKI On Monday, March 08, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo