Rais wa Chama cha upinzani nchini Uganda cha Forum for Democratic Change (FDC), Kanali Msataafu Dk. Kizza Besigye, akizungumza na vyombo vya habari, mara baada ya kufunguliwa kwa mkutano wa wakuu wa vyama vya kidemokrasia vya Afrika, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Kilimanjaro Kempiski, Dar es Salaam jana. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe.
March 14, 2010

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment