
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo juu ya mambo mbalimbali ya hali ya kisiasa na maendeleo ya nchi katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010. Sumaye pia alikabidhi hundi ya shilingi milioni 5 kwaajili ya Jukwaa la wahariri Tanzania.

Waandishi waliohudhuria mkutano huo Dar es Salaam leo.
0 comments:
Post a Comment