
Kaimu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya serikali TSN, Mkubwa Ally akisoma hotuba yake kabla ya kuzinduliwa kwa bodi hiyo Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi, Wilson Mkama na katiakti ni Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika.

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya bodi ya Wakurughezi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali TSN, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo Wilson Mkama.

Kutoka kushoto ni wajumbe wa bodi hiyo, Clement Mshana, Charles Rajabu, Kalua Simba na Hajjat Hawa Manga.

Katikati ni Mhariri wa gazeti hili Joseph Kulangwa na kulia ni Mwenyekiti wa RAAWU tawi la TSN, Jane Chiponde na Ritha Semizigi wa idara ya fedha walihudhuria shughuli hiyo.

Mameneja wa TSN wakifutilia hotuba za uzindizi.

Mwenyekiti mpya wa bodi Wilson Mkama akizungumza baada ya Waziri kuzindua bodi hiyo.

Picha ya pamoja kati ya wajumbe wa bodo na utawala wa TSN baada ya kuzindua bodi.

Wajumbe wa bodi wakiwa katika picvha ya pamoja.
0 comments:
Post a Comment