
Bendera za mataifa nmbalimbali zikipepea nje ya Ukumbi wa mikutano wa Mlimani City Dar es Salaam ambako mkutano wa APRM unafanyika leo hii.

Washiriki wa Mkutano huo wa APRM wakifuatilia.

Wajumbe wakiwa Mkutunoni. APRM (African Peer Review Mechanism) ni Mpango wa Hiari wa Nchi Wanachma wa Umoja wa Afroka Kujipima kwa Vigezo vya Utawala Borauliobuniwa na Viongozi wa umoja huo 2003.
0 comments:
Post a Comment