Nafasi Ya Matangazo

February 03, 2010

Meneja Huduma za Jamii wa Zain, Tunu Kavishe (kulia) akizungumza wakati wa mkukabidhi eneo la biashara mama mzazi wa mtoto Juma Hassan "ZAIN" Bi.Shakila Ally ambaye alikuwa mtoto wa kwanza kuzaliwa katika Hospitali ya Mwananyamala Dar es Salaam siku Zain inabadili jina kutoka Celtel Agosti 1, 2008. Mama Zain akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupata eneo la biashara ambalo linagharimu shilingi Milioni tatu. Amekabidhiwa Cherehani, na Simu ya kupigisha na kuuza salio la Zain kama sehemu ya mtaji wake. Vitu hivyo vyote vitamsaidia Mtoto Zain katika malezi yake.
Wananchi wa Tandale kwa Mtogole wakiangalia makabidhiano hayo leo katika eneo ambalo duka hilo lipo.
Mkazi wa tandale akipita jirani na Mama ZAIN Shop, tandale kwa Mtogole.
Posted by MROKI On Wednesday, February 03, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo