
Raia Jakaya Mrisho Kikwete aisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Libya Bwana Muammar Gadafi wakati wa kikao cha 14 cha wakuu wa nchi za Afrika kinachofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia kuanzia tarehe 31.01.2010.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati alipokutana na rais Blaise Compaore wa Burkina Faso wakati wa kikao cha 14 cha wakuu wa Umoja wa Afrika kinachofanyika nchini Ethiopia.

Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Mataifa Mheshimiwa Benard Membe wakati wa kikao cha 14 cha Wakuu wa nchi za Afrika kinachofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia.

Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi akimwelezea jambo fulani rais Jakaya Kikwete. Viongozi hao wapo nchini Ethiopia kuhudhuria kikao cha 14 cha wakuu wa nchi za Afrika.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati alipokutana na rais Blaise Compaore wa Burkina Faso wakati wa kikao cha 14 cha wakuu wa Umoja wa Afrika kinachofanyika nchini Ethiopia.

Rais Jakaya Kikwete, Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi (katikati) na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Bwana Donald Kaberuka (kushoto) wakifurahia jambo wakati wa kikao cha wakuu wa nchi za Afrika kinachofanyika nchini Ethiopia.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza kwa makini Rais Omar el Bashir wa Sudan walipokutana kwa faragha katika siku ya kwanza ya kikao cha 14 cha wakuu wa nchi za Jumuia ya Afrika kinachofanyika jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.
0 comments:
Post a Comment