
Mwanamuziki, Vicky Kamata akitoa burudani sambamba na Wanenguaji wake wakati wa Sherehe za Kutimiza Miaka 33 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), zilizofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Mwenyekiti wa chama hicho Taifa na Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete.
0 comments:
Post a Comment