
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua athari za mafuriko yaliyozoa reli ya kati karibu na stehseni ya Gulwe Mpwawa wakati alipotembelea eneao lililoathirika kwa mafuriko katika wilaya hiyo Januari 31, 2010. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. James Msekella.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua athari za mafuriko yaliyovunja daraja la Gulwe na kukata mawasiliano kati ya Mji wa Mpwawa na eneo la la Kusini la WIlaya ya Mpwapwa wakati alipotembelea eneao lililoathirika kwa mafuriko katika wilaya hiyo Januari 31, 2010. Kulia kwake ni Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje.
0 comments:
Post a Comment