
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia Mkutano Mkuu wa Jumuia ya Wake wa Wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika katika ukumbi wa makao makuu ya Jumuia ya Afrika nchini Ethiopia tarehe 1.2.2010.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na Mke wa Rais wa Zambia Thandiwe Banda muda mfupi kabla ya kuanza Mkutano Mkuu wa Jumuia ya wake wa wakuu wa nchi za Afrika (ORGANISATION OF AFRICA FIRST LADIES AGAINST AIDS -OAFLA- ),uliofanyika katika ukumbi wa mikutano katika Makao makuu ya Jumuia ya Afrika huko Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 1.2.2010.
0 comments:
Post a Comment