Nafasi Ya Matangazo

January 29, 2010

KIOTA CHA BURUDANI CHA SUN SIRRO NIGHT CLUB ZAMANI KILI TIME KIONEKANVYO MCHANA.
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk. Milton Mahanga akizindua kiota kipya cha burudani cha Sun Sirro Night Club. Ukumbi huu upo ilipokuwa Club maarufu ya usiku ya Kili Time.Mahanga akioneshwa mandhari za ukumbi wa burudani. Wadau wakijichanganya na burudani.
hapa ni kaunta na wahudumu nadhifu.
Menu ya ufunguzi kama kawaida.
Posted by MROKI On Friday, January 29, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo