Nafasi Ya Matangazo

January 31, 2010

Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano Benki ya NMB Shy-Rose Bhanji akimkabidhi sehemu ya msaada wa mifuko ya saruji na mabati Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyanza Happiness Kimambo, ikiwa ni msaada wa NMB kusaidia sehem ya ujenzi wa madarasa matatu shuleni hapo. Kulia ni Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa Straton Chilongola . Makabidhiano hayo yalifanyika wilayani Geita, Mkoani Mwanza.
Posted by MROKI On Sunday, January 31, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo