


Baadhi ya wahitimu wa mahafali ya nne ya Kidato cha 6 katika shule ya Wasichana ya Baobab ya mjini Bagamoyo wakiwa katika mahafali hayo ambapo mgerni rasmi alikuwa Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda.

Wahitimu wa baadae nao walikuwepo katika mahafali hayo leo.
0 comments:
Post a Comment