
Maharusi Bw. Gldlove Lwendo na Bi Matilda Nkanda wakiwa ni wenye nyuso za furaha wakati wa tafrija yao baada ya kufunga pingu za maisha Dar es Salaam jana na wawili hao kuwa mwili mmoja.

Mr Godlove Lwendo akikabidhi zawadi ya keki wakwe zake ikiwa ni ishara ya kupata mke

Mrs Matilda Lwendo akimkabidhi mama mkwe keki ikiwa ni ishara ya shukrani ya kupata mume.

hapa maharusi wakikabidhi keki kwa ndugu wa bwana haruzi.

Bwana harusi akishirikiana na kundi lake kuimba moja ya nyimbo zao.
Picha na MD Digital 0755373999/0717002303.
Tunamshukuru sana Mungu kwa kutuwezesha. Asante kwa kila aliyeshiriki katika arusi yetu na hasa kwako shem Mroki. Mungu awabariki sana.
ReplyDelete-Mr&Mrs G.G Lwendo.
that is superb!
ReplyDeletehongereni sana mmetoka bomba mungu wajalie mmpendane zaidi na zaidi, sala ndio nguzo kuu ktk ndoa , karibuni kwenye club hii nzuriiii.
ReplyDeleteMay God bless you to live a long and happy life together.
ReplyDelete-Mama Joel
hongereni jamani Mr and Mrs Lwendo...
ReplyDeleteMna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kuyapita majaribu yote hasa katika kipindi chote mlichokuwa mbali mbali hadi kutimiza malengo yenu.Mungu aendelee kuwa nanyi daima.WE LUV YOU.
From Pamela,Lily, And Lily
mmependeza shuti raha nawapa big up
ReplyDeletefrom ney mkuranga
jamani kupendwa ndio huku mashalah mungu kawajalia usura swadataaaa
ReplyDeletefrom ney