mhhh jamani kupamba gani huko??? mtoto mzuri lakini kaonekana kama jini??? wapambaji muwe makini. hongera maharusi
yaani bi harusi hayo ma-make up mbona ugomvi toba hukujiona kwenye kioo nini yaani umekuwa kama umevaa mask lo, but nawatakia maisha yenye furaha
mhhh jamani kupamba gani huko??? mtoto mzuri lakini kaonekana kama jini??? wapambaji muwe makini. hongera maharusi
ReplyDeleteyaani bi harusi hayo ma-make up mbona ugomvi toba hukujiona kwenye kioo nini yaani umekuwa kama umevaa mask lo, but nawatakia maisha yenye furaha
ReplyDelete