Nafasi Ya Matangazo

November 10, 2009

Tumbaku yetu hii ...Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha uwekezaji nchini (TIC) Emmanuel Ole Naico akiangalia bidhaa ya tumbaku inayozalishwa na kiwanda cha Tumbaku cha Tanzania leaf Tobaco cha mjini Morogoro alipotembelea banda la kampuni hiyo katika maonesho ya siku ya Uswisi nchini yaliyofanyika Dar es Salaam jana. Anaemuonesha ni Mshauri wa Mradi huo Hugh Thacker.
Posted by MROKI On Tuesday, November 10, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo