Nafasi Ya Matangazo

November 04, 2009

Waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ihungo mjini Bukoba, Kagera (West Lake) miaka 32 iliyopita, Bwana Steven Kiberiti na Moshy Kiyungi(kulia) wakionyesha sura zao kwenye picha ya ukumbusho wallipokuwa wanafunzi wa kidato cha Tatu(C). Picha hiyo imetunzwa Bwana Moshy Kiyungi kwa miaka yote hiyo na kuitoa kama zawadi kwenye sherehe ya kuangwa kwa Binti ya Bwana Kiberiti (Julliet ) jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Posted by MROKI On Wednesday, November 04, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo