Nafasi Ya Matangazo

November 14, 2009

Mke wa Rais mama Salma Kikwete akiwa na Mke wa rais wa Zambia Thandiwe Banda wakifuatilia onyesho onyesho la mavazi lililoandaliwa na Taassi ya Utepe Mweupe kwa lengo la kusaidia mpango wa uzazi salama kwa wanawake wajawazito lililofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam.
Msanii na Mwanamitindo wa kimataifa Naomi Campbell akiwa jukwaani wakati wa onyesho la mavazi lililoandaliwa na Taassi ya Utepe Mweupe kwa lengo la kusaidia mpango wa uzazi salama kwa wanawake wajawazito lililofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick usiku wa kuamkia leo.Nyuma yake ni Bi. Rose Mlay Mratibu wa Utepe Mweupe Tanzania.
Mke wa Rais mama Salma Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa Taasisi ya wanawake na Maendeleo (WAMA) akimweleza jambo Balozi wa kimataifa wa Utepe na msanii na mwanamitindo wakati wa onyesho la mavazi lililoandaliwa na Taassi ya Utepe Mweupe.
Picha no 5.
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akiongea na Msanii na Mwanamitindo wa kimataifa Naomi Campbell (wa pili kushoto) wakati wa onyesho la mavazi lililoandaliwa na Taassi ya Utepe Mweupe kwa lengo la kusaidia mpango wa uzazi salama kwa wanawake wajawazito lililofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick usiku wa kuamkia leo. Katikati ni mwanamitindo wa Face of Africa kutoka Zimbabwe Tollar Kelle.
Msanii na Mwanamitindo wa kimataifa Naomi Campbell akiongea na waandishi wa habari mara baada ya onyesho la mavazi lililoandaliwa na Taasisi ya Utepe Mweupe kwa lengo la kusaidia mpango wa uzazi salama kwa wanawake wajawazito lililofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam.
Posted by MROKI On Saturday, November 14, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo