Nafasi Ya Matangazo

November 10, 2009

HUU NDIYO UKWELI, UZURI NA UTAMU WA BIBLIA!!Q: Sura gani ya Biblia ambayo ni fupi kuliko zote?
A: Zaburi 117

Q: Sura gani ya Biblia ambayo ni ndefu kuliko zote?
A: Zaburi 119


Q: Sura gani iliyo katikati ya Biblia?
A: Zaburi 118


Ukweli: Kuna Sura 594 kabla ya Zaburi 118Ukweli: Kuna Sura 594 baada ya Zaburi 118Ukijumlisha Namba hizi unapata 1188.


Q: Mstari upi wa katikati ya Biblia?
A: Zaburi 118:8


Q: Je Mstari huu unaongelea chochote cha maana kuhusu mpango mzima wa Mungu kwa maisha yetu?

Mara nyingine mtu akisema angehitaji kujua mpango kamili wa Mungu kuhusu maisha yake na wakati huo huo anataka kuwa katikati ya mipango yake, basi muweke mtu huyu kati ya maneno yake!(yaani usiongee kitu nje ya maneno yake)

Zaburi 118:8"Ni bora kuamini katika BWANA kuliko kumwamini binadamu." Je kwa mpangilio huu haishangazi kwa jinsi ilivyotokea (au Mungu alikuwakatikati yake)?

Kabla ya kutuma habari hii nilisali, Nilisali kwa ajili yenu. Je una dakika moja? sekunde 60 kwa ajili ya Mungu? Cha kufanya ni kusali sala ndogo kwa mtu aliyekutumia ujumbe huu.........

"Baba Mungu mpe baraka rafiki yangu kwa chochote ukijuacho kuwa yeye anakihitaji siku ya leo! Na Maisha yake yajae Amani yako, mafanikio na nguvu kama anavyohitaji kuwa karibu na wewe. Amina"

Kisha tuma kwa watu 10 wengine. Ndani ya saa utakuwa umeombewa na watu 10 wengine, utakuwa umesababisha watu wengi kuombea wenzao kwa Mungu.Kisha subiria na uone NGUVU ya MUNGU ikifanya kazi kwenye maisha yako...

Mambo yawapo Magumu, siku zote kumbuka.... Imani haikuzungushi kwenye matatizo, isipokuwa hukusaidia kuyavuka matatizo!!
Mungu Awabariki.
Posted by MROKI On Tuesday, November 10, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Nategemea nawe unasali ndugu yangu.

    Mingi love
    Dada Miriam

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo