Nafasi Ya Matangazo

September 07, 2009

HAPA EMA ANAPELEKWA UANI NA KAKA YAKE
Ema akiwa nje choo wanachotumia

Mdau wetu haya ndio haswaa! mazingira anayoishi kijana Emanuel Urio, Aliezaliwa jijini Mwanza akiwa na ulemavu wa mikono na miguu.Emanuel anaweza kujiendeleza na mambo mengi endapo atapata msaada kutoka kwako.Mdau wewe umempa nini Mungu kukuleta duniani bila kasoro yoyote?MSAIDIE EMA NA MUNGU ATAKUONGEZEA.
Kitu ambacho Ema anachukia ni kukaa barabarani akiomba msaada,anapenda sana kusoma, kuchora, kuimba na mambo mengine meengi.Namba zake za simu ya mkononi ni,0757,839674
Ukitaka kuijua familia yake na habari zake gonga hapa

Posted by MROKI On Monday, September 07, 2009 1 comment

1 comment:

  1. "Mdau wewe umempa nini Mungu kukuleta duniani bila kasoro yoyote?MSAIDIE EMA NA MUNGU ATAKUONGEZEA."

    kitendo cha Ema kutokuwa na mikono na miguu sio kwamba ni lazima jamaa asaidiwe eti kwakuwa mimi nina miguu na mikono, kutoa ni moyo na sio kwakuwa eti Mungu alinipa miguu au mikono, kwa taarifa yako tu, moyo na akili yangu ilinituma straight away kumsaidia huyu jamaa pale tu nilipo iona picha yake kabla ata ya kusoma point less zako za maneno.

    Don't ever use God ability or because other people are not disable so that they can help others, lets help this guy only because he is our fellow Tanzanian and the main thing is a human being!!

    Whether you will publish this comment or not, I don't care but msg is sent and you will learn and know 4 the future.

    Shame on You Mroki.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo