Wanafunzi 332 Darasa la saba wa shule hiyo wataungana na wenzao nchini kote nchini kote leo wanaanza mitihani yao ya mwisho. Shule hii mawaka jana ilifaulisha wanafunzi wote 324.
Aidha Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imeruhusu wanafunzi wakike wajawazito kufanya mitihani yao kesho.
Wanafunzi hao wataanza na mtihani wa Sayansi, Hisabati na Kiswahili katika siku ya kwanza na siku ya pili watafanya mtihani wa Kiingereza na Maarifa.
0 comments:
Post a Comment