Mama
Mama wa Kimasai Agnes Kweka (kulia) akiangalia bangili ya mwenzake Rose Yohana kutoka Longido mkaoni Arusha wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Jinsia lililoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika Dar es salaam kuanzia leo hadi Septemba 11 2009.
Washiriki wakionesha bidhaa zao katika tamasha hilo.
Wageni mbalimbali wakifuatilia midahalo.
0 comments:
Post a Comment