Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Kristo la watakatifu wa siku za Mwisho Dar es Salaam wakipaka rangi baadhi ya vitanda vya Hospitali ya Temeke jana wakati waumini hao walipokuwa wakifanya usafi wa mazingira na wodi Hispitalini hapo.
Wakipiga deki viambaza
Wakitengeneza bustani za maua.
0 comments:
Post a Comment