Moja ya vibanda vya simu vya TTCL ambavyo vimegeuzwa vya kuuzia vocha badala ya kupigia simu. Je hii ni kudhihirihs kuwa TTCL imeshindwa kuendesha hata vitu vidogo kama hivi na inataraji ushindani na makampuni kama Vodacom, Tigo, Zain, Sasatel, Zantel na nk?
0 comments:
Post a Comment