Mlinda mlango wa timu ya taifa ya Vijana U 17, Salleh Ali akidaka mpira langoni kwake huku mshambuliaji wa Ethiopia, Abdelkarim Hassen akiusubiri umtoke. Nyuma ni Hassan Hamisi akimlinda.Timu hizo zilichuana juzi katika mchezo wa kuwania Kombe la Chalenji la Afrika Mashariki na Kati, Tanzania ilishinda 1-0.
Mchezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya mika 17 Hamisi Thabititakijaribu kuwatoka walinzi wa timu ya Ethiopia, Tefesse Solomon (kulia). Thabiti aliiwezesha timu yake kushinda 1-0 dhidi ya Ethiopia.
Taarifa zilizotufikia hivi punde zina pasha timu ya Zanzibar imetupwa nje ya mashindano hayo baada ya kufungwa goli 2-1 na Elitrea katika mchezo wao wa Robo fainali.
0 comments:
Post a Comment