Nafasi Ya Matangazo

August 28, 2009

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwalimu Francis Temba (kushoto) ambaye alimfundisha Kiingereza darasa la STD III na IV katika shule ya Msingi ya Kibaoni Wilayani Mpanda. Pinda walikutana na mwalimu wake huyo baada ya kuzungumza na viongozi wa CCM Mjini Mpanda wiki iliyopita. Katikati ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Daniel Ole Njoolay.

Hakika walimu kama hawa ni muhimu sana kuwakumbuka kama wapo hai na wananguvu kama huyu wa Pinda ambaye bado ni kijana.
Posted by MROKI On Friday, August 28, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Laah mungu si asumani kweli mwalimu yupo vilie vile na mwanafunzi kafika mbaali mpaka kua waziri, Mungu anatoa rizki kwa kila kiumbe.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo