Balozi wa Tanzania katika Umoja wa mataifa, Augustine Mahiga akiangalia medal maalum ambayo rais wa baraza kuu la 63 la umoja wa mataifa, Miguel d'Escoto ( kati kati) ameitengeneza kwaajili yakumuenzi Baba wa taifa mwalimu J.K. Nyerere
Rais wa Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa (GA) Miguel d'Escoto akiwa ameshika kinyago na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Augustine Mahiga, ambacho kimetolewa zawadi kwa Rais huyo na Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Mathias Chikawe kwa kutambua mchango wa rais huyo katika kupigania nakutetea haki za watu wanyonge.
0 comments:
Post a Comment