Katika hali isiyo ya kawaida Mlinzi wa Kampuni Binafsi ya Ulinzi katika Ofisi za Umoja wa Matifa UN Dar es Salaam aliwatimua waandishi wa habari wa HabariLeo na Mwananchi waliokuwawamefika katika ofisi hizo kufuatia mwaliko wa mkutano wa Humanitariay day uliokua unafanyika hapo. Pichani ni mlinzi huyo akiwafukuza waandishi hao.
August 19, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment