
Timu za Mtibwa Sukari (kushoto) na African Lyone wakitoka uwanjani baada ya mchezo kumalizika katika Uwanja wa Uhuru (Kwa Bibi) leo. Mtibwa ilishinda 2-0. Katika mchezo wa awali Lyone waliikamia Yanga na kutoka nao sare ya 1-1.

Bosi wa African Lyone Mohamed Dewji akiwa ameshika tama baada ya vijana wake kuchapwa goli 2-0 na Mtibwa Suger.

Bosi wa Mtibwa Sukari Jamal Baizer akifuatilia kwa makini vijana wake wakitoa dozi kwa African Lyone.
0 comments:
Post a Comment