
Picha ya Karibu ya Illuminata

Akiwa katika kivazi cha ufukweni kilichotolewa na BSC Thailand

Vazi la jioni hili

Akiwa katika pozi tulivu la kukata na shoka

Illuminata Wize, Miss Tanzania 2009 akipozi na kivazi cha ufukweni.

Kutoka kushoto ni Illuminata Wize, Miss Tanzania 2009; Ekta Chowdhry, Miss India 2009; Jenel Cox, Miss Guyana 2009, na Jewel Selver, Miss Turks & Caicos 2009, wakipozi kwa picha katika Dolphin Cay mjini Tlantis kisiwani Paradise huko , Bahamas jumamosi. Ukisikose kutembelea hapa kwa matukio zaidi.
www.missuniverse.com/members/profile/41815
Brother yule Miss ETHIOPIA au ZAMBIA ningempata mmojawapo mwenzenu mie na kazi ningeacha, potelea mbali!
ReplyDeleteNingeshinda NDANI tu namwangalia toka asubuhi mpaka nait,
Kudadadek!!