May 31, 2009
May 29, 2009
wakipozi kwa picha walipotembelea Kijiji cha makumbusho, Dar es
Salaam jana. Shindano hilo linatarajiwa kufanyika Mei 30,2009 katika Ukumbi wa
Mlimani City Conference Jijiji Dar es Salaam.
waklicheza ngoma ya asili ya kusini mwa Tanzania walipotembelea Kijiji
cha makumbusho, Dar es Salaam jana.
wakipozi kwa picha na Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania,
Geofrey Meena (katikati) walipotembelea ofisi za TTB, Dar es Salaamjana.
May 27, 2009
May 25, 2009
Mgombea wa CCM Lolesia Bukwimba akishangilia baada ya kutangazwa rasmi kuwa Mbunge wa Jimbo pa Busanda wilayani Geita katika uchaguzi mdogo uliofanyika Jumapili baada ya kupata kura 29242 dhidi ya 22799 za Mgombea wa CHADEMA Finias Magesa.
Mamia ya wafuasi wa CHADEMA katika mji mdogo wa katoro wakishangilia baada ya kupata matokeo ya awali ya uchaguzi wa jimbo la Busanda kwamba wameishinda CCM katika kata ya Katoro kwa kupata kura 3565 dhidi ya 2757 za CCM,hata hivyo nderemo hizo zilizimika jana baada ya matokeo ya jumla kuonyesha kwamba CCM imeshinda katika jimbo hilo. May 24, 2009
May 23, 2009
May 22, 2009
May 21, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)












