
Mke wa Rais Salma Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi wa harambee ya kuchangisha fedaha kwaajili ya Watoto walemavu iliyoandaliwa na Mfuko wa Elimu Tanzania Dar es Salaam jana.

Mke wa Rais Salama Kikwete akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Afisa Uhusiano Mkuu wa Shirika la Nyumba Tanzania (NHC) Muungano Saguya baada ya NHC kuchangia sh milioni 11..5 katika harambee ya kuchangua mfuko wa Elimu Tanzania(TEA) kwa watoto wenye ulemavu Dar es Salaam jana.

Warembo waliowahi kushinda taji la Miss Tanzania miaka ya nyuma wakiwa katika picha ya Pamoja jana baada ya kuonyesha mavazi ambayo yatanadiwa kwaajili ya kuchangia fedha kwa watoto walemavu yaliyoandaliwa na Mfuko wa Elimu Tanzania jana.
KWAKWELI WAREMBO WETU WAMEPENDEZA SANA, THAT IS THE BEST PIC, YOU ARE BEAUTIFUL GALS.
ReplyDelete