Haya safari hiyo...Ibrahim ameainza yupo katika mchuma akiyeya UK.
Kijana Ibrahimu Said akipita Askari Magereza jana akielekea katika karandinga la Magereza kwenda kuanza kutumikia adhabu yake ya mwaka mmoja jela baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia kwa kofi Rais Mstaafu Ali Hassan Mwisnyi hivi karibuni. Said akiondoka Mahakaman hapo amesema Wakristo hana ugomvi nao na anawapenda kama wanavyompenda na huo mfuko alioshika ni zawadi walizompa.
0 comments:
Post a Comment