Nafasi Ya Matangazo

March 18, 2009

Habari toka Mahakama ya Mkoa wa Dodoma zinapasha kuwa Kijana Malya aliyekuwa akituhumiwa kuwa ndiye aliendesha gari la Marehemu Chacha Wangwe wakati linapata ajali amehukumiwa jela miaka 3 baada ya kupatikana na hatia ya kuendesha gari kwa kasi na bila leseni ya udereva.
Posted by MROKI On Wednesday, March 18, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo