Nafasi Ya Matangazo

March 25, 2009

Rais Jakaya Kikwete na mwenyeji wake, Rais wa Visiwa vya Comoro, Ahmed Abdallah Mohamed Sambi, wakikata utepe kufungua maonyesho ya picha za mapambano ya ukombozi wa visiwa hivyo kwa nyakati tofauti za historia ya visiwa hivyo katika makumbusho ya taifa yaliyopo Moroni Machi 24 2009.
Watanzania waishio Moroni wakigombea kusalimiana na Rais Jakaya Kikwete muda mfupi baada ya kuzungumza nao Machi 24 2009 jioni.
Rais Jakaya Kikwete akiwa amembeba mtoto wa kitanzania ambaye wazazi wake wanaishi Moroni, muda mfupi baada ya Rais kuzungumza na Watanzania waishio kisiwani humo Machi 24 2009.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim Moroni, baada ya kuitembelea benki hiyo Machi 24 2009 jioni.
Posted by MROKI On Wednesday, March 25, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo