TAliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni-Kinondoni kujibu mashtaka matatu yanayomkabili kufuatia ajali iliyotokea hivi karibuni na kuua watu wawili waliokuwa abiria wa Bajaji.
Chenge akiteremka katika gofu... Andrew Chenge akiongozwa na Polisi kwenda Mahakamani...
Chenge akiongozwa na Askari kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Dar es Salaam kusomwa mashitaka matatu yanayomkabili.
Wapigapicha za habari wakihangaika kupata picha wakati Andrew Chenge akisomewa shitaka lake.

Kuna mambo mengi ya kuandika, umekazania hii tu, mara mtoto wa Chenge kituo cha polisi, mara ameenda kubadilisha nguo, mara hivi na mara hivi, huna habari nyingine,?
ReplyDeleteUliyetoa maoni hapa wewe Ni Nduigu wa Chenge nini? Yaani inaonyesha jinsi gani ulivyo na akili ndogo, mbona wakifikishwa wenzenu mahakamni mnashabikia ila kwenu aah uchungu. Huyu mtu maarufu na tunahitaji habarizake mara kwa marta kujua mwenendo wa kesi. Kidevu Kamua tu usiogope hawa watu.
ReplyDelete